Kuna aina nane(8) za maneno katika luugha ya kiswahili:-
- Nomino
- Viwakilishi
- Vitenzi
- Vivumishi
- Vielezi
- Viunganishi
- Vihusishi
Nomino Neno linalosimamia jina la kitu, mtu, mnyama, mahali, hali na kadhalika.
- Vihisishi
Viwakilishi Maneno yanayotumika badala ya nomino
Vitenzi Maneno yanayotaja kitendo
Vivumishi Huelezea zaidi kuhusu nomino
Vielezi Hutuarifu zaidi kuhusu vitenz
Viunganishi Hutumika kuunganisha makundi mbalimbali ya maneno
Vihusishi Huonyesha uhusiano wa nomino na mazingira yake
Vihisishi Maneno yanayotumika kuonyesha hisia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni