Kuhusu sisi

CHAWAKAMA ni kifupisho cha kifungu cha maneno haya:
 CHAMA CHA WANAFUNZI WA KISWAHILI VYUO VIKUU AFRIKA YA MASHARIKI 
Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo vikuu Afrika Mashariki Tawi la chuo cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere (CHAWAKAMA-MNMA )  ni miongoni mwa vyama  vya kitaaluma katika chuo cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere. Chama hiki kilianzishwa mnamo mwaka 1972,katika Chuo kikuu cha Dar es salaam. Hapa  chuo cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere (CHAWAKAMA-MNMA ) tawi limefunguliwa 2014

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni