Jumanne, 9 Februari 2016

Kitamizi, Makavazi,Msadi

Lugha yoyote iliyo hai hukua kwa kuongezeka maneno na msamiati.
Kiswahili kwa maneno haya matatu:

"Msadi' ni Kiswahili cha neno  'Consultant'.

"Kitamizi"  ni kiswahili cha nano Incubator  
"Makavazi ni Kiswahili cha neno Archives 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni