Kurasa
▼
Aina ya Maneno katika Kiswahili
Kuna aina nane(8) za maneno katika luugha ya kiswahili:-
Nomino Neno linalosimamia jina la
kitu, mtu, mnyama, mahali, hali na kadhalika.
Viwakilishi Maneno yanayotumika badala ya nomino
Vitenzi Maneno yanayotaja kitendo
Vivumishi Huelezea zaidi kuhusu nomino
Vielezi Hutuarifu zaidi kuhusu vitenz
Viunganishi Hutumika kuunganisha makundi mbalimbali ya maneno
Vihusishi Huonyesha uhusiano wa nomino na mazingira yake
Vihisishi Maneno yanayotumika kuonyesha hisia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni